Mama ni Kila Kitu Kwangu- Riyama
MUIGIZAJI wa filamu wa kike Bongo Riyama Ali anasema kuwa mama yake ni ndio kila kitu katika maisha yake na hata mwanaye anamulelea kwa kumfundisha kuheshimu wazazi, huku akijaribu kumpa miongozo bora kama mzazi anayependa familia yenye malezi bora kwa watoto na jamii nzima kwa ujumla wake. “Wapo baadhi ya wanadamu ambao hutamani wafanane na […]
Read More..





