-->

Daily Archives: November 15, 2017

Mama yake Irene Uwoya amlilia Ndikumana

Mama mzazi wa msanii Irene Uwoya ambaye ni mkwe wa marehemu Hamad Ndikumana aliyefariki usiku wa jana kuamkia leo, ameshikwa na uchungu kwa kumwaga machozi mengi na kusema kabla marehemu hajafariki alikuwa anawasiliana naye na alimtaka kuwa na subira. Akiongea huku akilia kwa kwikwi na machozi yakimtoka, mama Uwoya amesema Ndikumana alikuwa ni zaidi ya […]

Read More..

GOD FATHER EA PRODUCERS SAT IN NAIROBI, KE

Post Image

The new “BigBrother version” reality show for East Africa known as God Father East Africa which shall be watched on your screens on either NTV Kenya or Citizen TV Kenya from the first quarters of 2018, producers held their second meeting yesterday in Nairobi, Kenya to pinpoint about the application process, applicant’s instructions and the […]

Read More..

Lulu Awaambia Ndugu Zake Wasikate Rufaa Kil...

Post Image

Imeelezwa kuwa baada ya msanii Elizabeth Michael kusomewa hukumu ya kifungo cha miaka miwili jela, aliwaambia ndugu zake wasikate rufaa kwa kuwa kilichotokea ni mipango ya Mungu na yupo tayari kukabiliana nayo. Msanii , Muhsin Awadh maarufu Dk Cheni ambaye amekuwa karibu na mwigizaji huyo katika kipindi chote amesimulia hali ilivyokuwa muda mfupi baada ya […]

Read More..

TANZIA : Aliyekuwa Mume wa Irene Uwoya afar...

Post Image

Aliyekuwa Mume wa zamani wa Muigizaji Irene Uwoya na Mchezaji wa Burundi, Hamadi Ndikumana Katauti amefariki dunia usiku wa kuamkia leo. Taarifa za kifo cha Ndikumana zimethibitishwa na Muigizaji Irene Uwoya ambaye alikuwa mke wake wa ndoa na kufanikiwa kuzaa mtoto mmoja wa kiume. Baaada ya muda EATV ilifanikiwa kumpata Haruna Niyonzima ambaye ni moja […]

Read More..

Dr. Louis Shika asisitiza nia ya kuzinunua ...

‘Bilionea’ wa nyumba za Lugumi, Dk Louis Shika ameachiwa na kwenda kupanda daladala kuelekea nyumbani huku akisema mpango wake wa kununua nyumba za Lugumi uko palepale. Baada ya kuachiwa na polisi leo Jumanne jioni amesema kwamba bado mpango wake wa kununua nyumba hizo uko palepale. Amesema anachosubiri sasa ni fedha kuingizwa kwenye akaunti yake na […]

Read More..