Johari: Ndiku Alitupa Raha
BLANDINA Chagula ‘Johari’ amemfungukia aliyekuwa mume wa muigizaji Irene Uwoya, marehemu Hamad Ndikumana kuwa enzi za uhai wake, aliwapa bata za kutosha. Akizungumza na mwanahabari wetu hivi karibuni, mkongwe huyo wa sinema za Kibongo, alisema Ndiku alipokuwa anakuja nchini akitokea nchini Cyprus alikokuwa akiishi, alikuwa akiwaletea zawadi na kujirusha naye sana. “Kama unavyojua mimi […]
Read More..





