-->

Daily Archives: November 27, 2017

Siri ya Wema Sepetu Kupukutika Yafichuka!

Post Image

VYUMA vimekaza? Siri ya staa mkali wa sinema za Kibongo, Wema Isaac Sepetu kupukutika imefichuka baada ya picha zake kusambaa zikimuonesha akiwa hana lile shepu aliloliimba Dogo Aslay. Kufuatia ishu hiyo, mashabiki wa Wema walipigwa na butwaa jinsi mwili wake huo ulivyopukutika. Ili kumaliza ubishi huo, Ijumaa Wikienda lilizungumza na Wema na kumuuliza kulikoni kupukutika […]

Read More..

Kajala Masanje Aoneshwa Akimtega Shemeji Ya...

Post Image

Video mpya ya ‘Omulilo’ ambayo ni kazi yake mwanamama Saida Karoli imeachiwa rasmi, huku Kajala akiigiza muhusika aliyeimbwa kwenye wimbo huo. Video hiyo inamuonyesha Kajala akiwa anaishi kwa shoga yake kipenzi, lakini licha ya kumsitiri anafanya kitendo kibaya cha kumtaka shemeji yake kimapenzi kwa kumtega kwa kumvalia mavazi ya kumshawishi. Kazi hiyo ambayo imefanywa na […]

Read More..

TID amvaa Ben Pol kisa kuimba wimbo wake Fi...

Post Image

Msanii wa Muziki wa Bongo Flava, TID amesema hajapendezwa na kitendo cha Ben Pol kuimba ngoma yake katika tamasha la ‘Fiesta’ wakati yeye hakuwa sehemu ya tamasha hilo. Muimbaji huyo amekiambia kipindi cha Planet Bongo, East Africa Radio kuwa atazungumza na wakubwa wake pamoja na wanasheria wake ili kumchukulia hatua Ben Pol. “Nina kesi moja […]

Read More..