-->

Daily Archives: November 29, 2017

Gigy Money: Unene Ulikuwa ni wa Utoto

Post Image

MWANAMUZIKI na muuza sura kwenye video mbalimbali za wasanii wa muziki wa Bongo Fleva, Gift Stanford ‘Gigy Money’ ameeleza kuwa unene aliokuwa nao awali ulikuwa ni wa utoto hivyo kukonda kwake kwa sasa ni utu uzima. Akizungumza na Za Motomoto News, Gigy Money alisema watu wanamsema kwa kukondeana kwake lakini anachoweza kusema ni kwamba unene […]

Read More..

Ray Azitosa filamu, Ageukia Huku

Post Image

NYOTA wa filamu Bongo, Vincent Kigosi ‘Ray’ amesema kwa sasa amejikita katika kilimo cha matikiti maji na kupumzika kidogo katika uzalishaji wa filamu akiamini kuwa kilimo hicho cha matunda kinampatia maslahi zaidi kuliko filamu kwani hali ya soko ni tete. “Mimi ni mtayarishaji mkubwa wa filamu, ninapoandaa kazi yangu ya sinema ni lazima nitumie pesa […]

Read More..

Sister P Amtamani Alikiba

Post Image

Msanii mkongwe kwenye bongo fleva, Sister P ambaye amewahi kutamba kwa ngoma kama, Anakuja,  Hey Dj na zingine amefunguka na kusema kuwa katika ujio wake mpya kwenye muziki anatamani kufanya kazi na mfalme Alikiba kwani anaamini watafanya kazi kubwa. Sister P amesema hayo leo alipokuwa akipiga stori na mwandishi wa tovuti ya EATV na kudai […]

Read More..