Ali Kiba Achaguliwa Kuwania Tuzo za Mtv Ema
Msanii wa Kimataifa kutokea Tanzania, Alikiba maarufu kama Kingkiba, Leo ametajwa kwenye nominations za tuzo kubwa dunia za Mtv Europe Music awards (MTVEMA) katika category ya BEST AFRICAN ACT, Alikiba ni msanii pekee kutokea East Africa huku akiungana na miamba mingine ya mziki kutoka Nigeria na south Africa kama ifuatavyo
Best African Act
Alikiba – Tanzania
Wizkid – Nigeria
Black coffee – South Africa
Casper nyovest- South Africa
Olamide – Nigeria
Haya ni mageuzi makubwa ya kimziki wa bongoflava, hasa ukizingatia Alikiba anaimba bongoflava halisi isiyo na chembe ya unaijeria.
Hongera sana Ali Kiba