-->

Alichosema Jay Moe kuhusu kutofanya collabo na wakongwe wa Bongo fleva

 

Mashabiki wengi hujiuliza inakuaje kwenye upande wa Bongo Fleva mastaa wakongwe katika game hii wanashindwa kufanya collaboration wao kwa wao , ugumu unakuwa wapi?? Je ni kwamba ladha ya muziki itapungua kutokana na wao kuwa wakongwe katika muziki?

Majibu yote anayo Jay Moe, alisema

Naona watu wanacho jaribu kukitafuta saivi ni kitu kipya , Solo nipo naye karibu lakini badala solo ashiriki nyimbo na mimi nitamshauri afanye  na Godzilla, afanye na billnass. Kwa sababu naona kabisa kwamba mimi ni mkongwe mwenzake. Huu mziki tunaoufanya ni wa sasahivi, washabiki ni wa sasahivi, wakongwe tunaenda kufanya collabo kweye soko la watu wapya kwaio ni bora abaki mkongwe mmoja wawaingize na hawa generation ya sasahivi, belle 9 hawa wa kuimba imba. Kwaio hicho ni kitu ambacho unaona kwamba JAY MOE amshirikishi professor jay au mchizi mox. Ni kwa sababu anaona badala nifanye na wewe mchizi mox kuna advantage nitaikosa compare nikifanya na jux kwaio tunataka kuoanisha hizo chemistry  mbili za kizazi cha zamani na kizazi kipya, lakini ukisema jay moe aendele kufanya wimbo na tid …..hadi lini? tushafanya za kutosha kama hamjaridhika na jay moe na tid hivi basi nitawapa jay moe na mwingine tena chilla ,TID, mike T …Na sasa hivi mike t alivyosikiliza interview yangu ya juzi ameniambia jumatatu atakuja nyumbani tukae tuandike , baraka the prince naye amenicheki dm“-JAY MOE

 

Comments

comments

Post Tagged with

Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364