-->

Asha Boko Awalilia ‘Comedians’ wa Kike

Msanii wa vichekesho Asha Boko amewasihi wachekeshaji wa kike kujitokeza kwa wingi ili kuweza kuchangamsha sekta ya uchekeshaji kwa wasanii wa kike nchini

Akiongea kupitia eNewz ya EATV, Asha amesema anashangazwa na uchache wa wasanii wa kike kwenye upande wa Comedian na kuwataka wasiogope kwakuwa hakuna wasanii wa vichekesho Bongo wengi kwa upande wa wanawake.

Hata hivy amesema kwa sasa anampango wa kuachia movie zake peke yake hivyo anaomba sapoti ya kutosha kutoka kwa mashabiki zake ili aweze kutambua kiwango chake cha kuigiza kwa sasa.

eatv.tv

Comments

comments


Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364