-->

Aunt Ezekiel Aeleza Maumivu Aliyopata Wakati wa Kujifungua Cookie

Msanii wa filamu Aunt Ezekiel amefunguka na kueleza jinsi alivyopitia maumivu makali wakati wa kujifungua mtoto wake wa pekee ‘Cookie’ ambaye ametimiza moja mmoja hivi karibuni.

Aunt

Kupitia ukurasa wake wa instagram, Aunt Ezekiel aliandika:

Haikuwa siku ya furaha katika maisha yangu ilikuwa ni siku ngumu kushinda siku zote nilizowahi kupitia katika maisha yangu hata misiba iliyowahi kutokea still haikufananishwa na maumivu niliyoyapata hii Siku Ni kivipi na kwann C tuu kwasababu ya kuumwa uchungu Hapana bali ni hata kwa mparaganyiko wa Moyo niliokuwa nikiupata ndani ya Moyo wang kwa Hasira Maumivu na hasa Woga uliokuwa ukiniingia kila nikumbukapo Maneno ya Watu ambao wana Roho kama za Wanyama Mara hili mara lile Nitaandika kitu Mana ni siku yangu na nina kila sababu ya kufanya hvyo c tuu kwenye Mtandao ila hata kwa macho hapa nilipo na kwenye Mtandao Napenda kutoa Ushuhuda kuwa WHN JESUS SAY YES NO BODY CAN SAY NO… hata unene kwa rugha Yy ndio Muamuzi wa Mwisho Nakupenda Yesu wang wa Leo na hata baadae ww ndio kimbilio langu la Mwanzo Mwisho I love u Jesus . ntaendelea.

Comments

comments


Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364