AY: Nyimbo ya Ditto “Nabembea” ni wimbo bora.
Msaani maarufu Ambwene Yesaya anayejulikana kama “AY” ameamua kuweka hisia zake hadharani kuhusu wimbo wa msanii Ditto ‘Nabembea’ ambapo amesema kuwa ni wimbo bora na utaishi miaka mingi kwenye game ya Bongofleva..
AY ambaye amepost kwenye ukurasa wake wa Twitter kwa kuandika hivi..>>>”Nimechelewa kuusikia wimbo wa Lameck Ditto ‘Nabembea’ kama na wiki kadhaa ila kiukweli ni wimbo Bora sana na utaishi miaka mingi’ – AY
BOFYA PLAY KUTAZAMA VIDEO HII
Lameck Ditto – NABEMBEA
Unaweza pia tazama nyimbo ya AY- UPO HAPO