MSANII MPYA: CELINE JOHN msanii mpya wa nyimbo za Gospel
Msanii mpya kutoka Tanzania anayeitwa CELINE JOHN anaye chipukia na nyimbo za Gospel.
Na hadi hivi sasa ameshaachia nyimbo mbili ambazo ni “NAMPENDA YESU” na “LEO“. Msanii Celine ni kijana mdogo na ameweza kutimiza ndoto zake za kuwa mwanamziki wa nyimbo za injili.
Anamshukuru Mungu kwa afya anayomjalia kila siku na pia anawashukuru wazazi wake kwa support wanaompatia kwa kukuza kipaji chake cha uinjilishaji kupitia mziki ya Gospel.
Pia amewahasa wazazi wengine kuwa support watoto wao ambao wana vipaji mbalimbali Vikiwemo vya kuimba.
Hivi karibuni anategemea kutoa single mpya ya tatu na hivyo ameomba mashabiki wake waendelee kumpa support.
Usisahau ku – SUBRCRIBE ili uweze kupata video mpya itakapotoka.
Bofya play kutazama video zake hapa chini
CELINE JOHN – NAMPENDA YESU
CELINE JOHN – LEO