-->

Bishanga: Waigizaji Wengi wa Sasa Wanaiga ‘Umagharibi’

Mwigizaji Mkongwe ambaye alikuwa kwenye kundi la Mambo Hayo lililokuwa maarufu miaka ya 90, Bishanga Bashaija amesema kuwa waigizaji wengi wa sasa hivi wanaiga sana Umagharibi,ndio maana tamthilia nyingi za sasa zinaoonyeshwa kwenye runinga kwa sasa ni kutoka Latin America.

BISHANGA12

“Waigizaji wengi wa sasa wa hapa nchini wanaiga sana Umagharibi,ndio maana tamthilia nyingi za sasa zinazonyeshwa kwenye runinga zetu ni kutoka Latin America ili wauone uhalisia kutoka kwa waigizaji hao kwa sababu ndio utamaduni wao” Alisema Mwigizaji Bishanga Bashaija alipokuwa akihojiwa kwenye kipindi Leo Tena mapena jana.

Cloudsfm.com

Comments

comments


Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364