-->

Christian Bella Hoi Nchini Congo

King of the best melody, Christian Bella amelazwa hospitalini nchini Congo DRC baada ya kuugua ghafla.

Bella aliwasili nchini humo takriban wiki ya mbili sasa akiwa pamoja na TID ambapo tayari ameshafanya show kadhaa nchini humo.

Muimbaji huyo wa Malaika Band, ameweka picha katika mtandao wa Instagram akionekana amelazwa hospitalini huku akiwa ametundikiwa drip kitendo kinachoonyesha hali yake siyo nzuri.

Hata hivyo mpaka sasa haijajulikana ni ugonjwa gani unamsumbua msanii huyo.

Bongo5

Comments

comments


Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364