-->

Diamond na Vanessa wamo kwenye shindano la “AFRICAN ARTISTE OF THE YEAR”

Diamond Platnumz na Vanessa Mdee waingia tena kwenye shindano la MSANII BORA WA MWAKA 2017 ( “AFRICAN ARTISTE OF THE YEAR”).

 

Diamond Platnumz pamoja na Vanessa Mdee wamechaguliwa kwa mara nyingine tena kuwania tuzo za nchini NigeriaToo Exclusive Awards 2017″ na wote wametajwa katika kipengele kimoja cha msanii bora wa mwaka ( AFRICAN ARTISTE OF THE YEAR ) katika tuzo hizo zitakazofanyika nchini Nigeria.

Ikumbukwe kuwa siku chache zilizopita wasanii wote hawa wawill Diamond Platnumz na Vanessa waliingia kwenye shindano la tuzo ya Sound City Nigeria na Diamond kuwa mshindi.

Jinsi ya kupiga Kura ni rahis Chagua Jina msanii unayetaka kumpigia Kura na bofya “VOTE”

Kazi ni kwetu sisi  Watanzania kuingia kwenye tovuti na kupiga kura

Unaweza kuwapigia kura Diamond na Vanessa : Bofya hapa ” VOTE NOW”

Bonus : Just Like That

 

Comments

comments

Post Tagged with ,

Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Hi there!

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364