-->

Dogo Janja baada ya kuona “Nakupenda sema unakaujinga”>>>Uwoya

Leo March 31,2018 kwenye upande wa entertainment story inayochukua headlines ni kuhusu wanandoa wawili muigizaji Irene Uwoya na Dogo Janja hii ni kutokana na comment ya Dogo Janja baada ya post ya Irene Uwoya kwenye instagram page yake.

Irene Uwoya ameandika >>>“Nakupenda sema unakaujinga???” baada ya caption hiyo ya Irene Uwoya maswali mengi yalijitokeza kwa mashabiki kutokana na Irene Uwoya kutotaja jina la mtu anayempenda na mwenye ujinga na wengi kubaki na maswali.

Baada ya muda Dogo Janja alicomment na kuandika….>>>“Au sio?” comment hiyo ilizidi kuleta maswali kwa mashabiki na wengi kujiuliza kama ujumbe ule ni wa Dogo Janja au la

Comments

comments

Post Tagged with ,

Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364