-->

MSAANI MPYA : Rapa mkali anayekuja kwa kasi Bongo aitwaye Orbit

Rapa mkali anayekuja kwa kasi Bongo aitwaye Orbit. Kwa sasa ana nyimbo mbili ambazo ni; MAKAVELI na BUKU KUWA LAKI.

Nyimbo yake ya kwanza itwayo Makaveli ilitoka Augusti 13, 2016 ambayo inachukua dakika tatu na sekunde kumi , 3:10.

Bofya “PLAY” kuisikiliza

Nyimbo yake ya pili itwayo BUKU KUWA LAKI imetoka mwaka huu 2018 tarehe Feb 23, 2018.nymbo hii imechukuwa dakika tatu na sekunde hamsini na tano , 3:55.

Bofya “PLAY” kuitazama

Comments

comments

Post Tagged with , ,

Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364