-->

Tag Archives: dogo janja

Dogo Janja baada ya kuona “Nakupenda sema...

Post Image

Leo March 31,2018 kwenye upande wa entertainment story inayochukua headlines ni kuhusu wanandoa wawili muigizaji Irene Uwoya na Dogo Janja hii ni kutokana na comment ya Dogo Janja baada ya post ya Irene Uwoya kwenye instagram page yake. Irene Uwoya ameandika >>>“Nakupenda sema unakaujinga???” baada ya caption hiyo ya Irene Uwoya maswali mengi yalijitokeza kwa […]

Read More..

Irene Uwoya ampa onyo Dogo Janja”Thubutu ...

Post Image

Kupitia mitandao ya kijamii kumekuwa na taarifa kuwa msanii Dogo Janja ana mpango wa kuongeza mke wa pili baada ya kufunga ndoa na muigizaji Irene Uwoya ambapo ndoa hiyo ilifungwa mwaka jana 2017 ingawa mashabiki hadi sasa hawaamini kuhusu ndoa hiyo. Kupitia mtandao wa instagram wa Irene Uwoya ameonekana kupata taarifa ambazo zimekuwa zikisambaa kwenye […]

Read More..

VIDEOMPYA: Dogo Janja- WAYU WAYU

Post Image

Muimbaji wa Bongofleva Dogo Janja baada ya jina lake kuchukua headlines , March 9 2018 baada ya kupost cover ya wimbo wake wa WAYU WAYU akiwa kavaa mavazi ya kike na amepaka lipstick, usiku wa March 9 2018 ameamua kuachia video hiyo rasmi.    

Read More..

Dogo Janja anaitwa Baba Krish?

Post Image

miezi kadhaa imepita tokea muigizaji Staa Irene Uwoya afunge ndoa na msanii Dogo Janja na kwa upande wao wameonekana kuridhika na ndoa yao ingawa maneno yalikuwa mengi kutoka kwa mashabiki. Mapenzi kati yao yanaonekana kushamiri na kudumu hii ni baada ya Dogo Janja kukabidhiwa majukumu kama baba wa familia baada ya kuitwa Baba Krish katika comment kupitia instagram akaunti ya Irene Uwoya na jina hili kuonekana […]

Read More..