-->

Duma: Gabo Zigamba Kabweteka

Msanii wa filamu za bongo Duma amefunguka na kusema kuwa msanii mwenzake wa filamu za bongo, Gabo Zigamba amebweteka kwani hakuna kazi anazofanya na kusema yeye hawezi kumuamsha mtu aliyelala.

uma alisema hayo siku kadhaa zilizopita wakati akizindua filamu yake ya ‘Bei kali’ na kusema kuwa wao walimualika Gabo aweze kufika kwenye uzinduzi huo lakini msanii huyo ambaye ana mashabiki wengi nchini hakutokea.

“Yeye kutokuwepo anakosa vitu vingi sana Gabo anashuka kimasoko, mimi na yeye hatuna mgogoro tunaelezana ukweli ili tuweze kuitoa tasnia hapa kuipeleka sehemu nyingine, mimi simkosei heshima sababu sijamtukana tusi hata moja Gabo anamashabiki wengi sana yeye amebetweka tu ‘No man’ fanya kazi” alisema Duma

Comments

comments


Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364