-->

Hemed PHD Afunguka Kuwazimia Wanawake wa Aina Hii

Star wa bongo movie na bongo fleva kutoka Bongo Hemed PHD a.k.a Fernando Papi ametamka wazi kuwa anapenda kutoka kimapenzi na mijimama kuliko wasichana wembamba

Phd mwigizaji wa filamu ya Catherine

Phd mwigizaji wa filamu ya Hemmed

Akizungumza na Enewz Hemedi alisema kuwa yeye hana chaguo la wanawake wembamba na alishajaribu kuwa nao lakini alishindwa na kuwataka aina hiyo ya wanawake kukaa mbali naye.

“Mimi sipendi mwanamke mwembamba napenda mwanamke ambaye amejaaliwa rehma zake na Allah, mwanamke ambaye amejazia na wala si mifupa ”, alisema Hemed.

Comments

comments


Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364