-->

Huu ndio ujumbe wa Ebitoke kwa Ben Pol kwenye birthday yake

Ni vizuri kumuandikia ujumbe mtu wako wa karibu anapokuwa anasherehekea siku yake ya kuzaliwa ili kumuonyesha jinsi unavyomjali.

Ebitoke ametumia vizuri nafasi hiyo kwa kumwandikia ujumbe muhimu kupitia mtandao wa Instagram, Ben Pol ambaye pia anadaiwa kuwa na mahusiano naye japo yamekuwa na mashaka kwa watu wengine.

“Help me wish my handsome! #HappyBirthday #HappyNewAge ??? @iambenpol #Kidume #Bentoke,” ameandika Ebitoke kwenye mtandao huo.

Comments

comments


Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364