-->

Irene Uwoya Ala Shavu la Ubalozi

Staa wa bongo movie, Irene Uwoya amepata dili la kuwa balozi wa kampuni ya simu ya Itel.

“Napenda ni mshukuru sana MUNGU wangu kwa kunipenda…natoa shukrani Zangu za dhati kwa viongoz wangu wa itel kwa kuniamini na kunichagua Kuwa balozi wao… Itel ni simu nzuri sana tena kwa wale wapenda self Kama mim hiii Ndio mahala pake na wakati wa mwanga hafifu Ndio unapata picha Kali sana tena huitaji mwanga mwingine wa nyongeza…”-Ni maneno aliyoandika Uwoya kwenye ukurasa wake instagram.

Comments

comments


Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364