Itazame Hapa Video Mpya ya Alikiba
Msanii Alikiba amevunja ukimya wake leo 25 Agosti 2017 kwa kuachia ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la ‘Seduce me’ ambayo imekuja moja kwa moja na video zake.
Wimbo huu wa Alikiba umetengenezwa na mtayarishaji wa muziki kutoka Tanzania Man Water
Itazame hapa video hii mpya ya Alikiba