-->

Jennifer Mgendi, Mussa Banzi Wang’ang’aniwa Lokesheni

musa banzi22 (2)

Kanga foto! Staa wa sinema na nyimbo za Injili, Jennifer Mgendi na mwigizaji mwenzake, Mussa Banzi walijikuta waking’ang’aniwa na mashabiki wao ili wapige picha wakiwa lokesheni.

Ishu nzima iliyoshuhudiwa na Ijumaa Wikienda ilijiri wikiendi iliyopita maeneo ya Ubungo-Makuburi, Dar ambapo wasanii hao wakiwa na wenzao walikuwa wakirekodi moja ya sinema za Mgendi inayokwenda kwa jina la Wema ni Akiba.

Chanzo: GPL

Comments

comments

Post Tagged with

Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364