-->

Jimmy Mafufu Apanga Kukimbia Dar

Mwigizaji wa Bongo Muvi, Jimmy Mafufu ameibuka na kusema kutokana na gharama ya maisha kuzidi kuwa juu, amepanga kulikimbia Jiji la Dar na kurudi mkoani kwao, Mbeya.

Jimmy-mafufu2

Akizungumza na Wikienda, Mafufu alisema kuwa, amegundua jijini Dar kuna kujuana kwingi hivyo ni vigumu kuchomoka kimaisha lakini akirudi kwao kuna fursa nyingi za kimaisha.

“Ukweli Dar imenishinda, narudi kwetu jijini Mbeya, huko nitajenga chuo cha sanaa kwa sababu Dar wasanii wamekalia kur ogana,” alisema Mafufu.

Chanzo:GPL

Comments

comments


Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364