-->

Johari Alia na Watayarishaji Wadogo wa Filamu

MSANII nguli katika tasnia ya filamu Bongo Blandina Chagula ‘Johari’ amewatolea uvivu watayarishaji wadogo kama ndio chanzo cha kudorora kwa tasnia ya filamu Bongo kwani wamekuwa wakitumia bajeti ndogo katika utengenezaji wa Filamu na kulipua kazi zao.

JOHARI65

“Niseme ukweli tu watayarishaji wadogo wanaua tasnia ya filamu kwa kukurupuka bila kujipanga hauwezi kutengeneza filamu nzuri kwa kutumia bajeti ndogo jambo ambalo linafanya warekodi scene nyingi kwa siku,”

Johari anasema kuwa uzalishaji wa sinema umekuwa wa kasi sana bila kujali ubora wa kazi husika na msanii kushiriki katika kazi nyingi bila kujali sinema anayocheza inamuongezea sifa kama mwigizaji mahiri na bora bali kila siku mtu yupo kazini akirekodi kitu ambacho kinawachosha watazamaji.

FC

Comments

comments


Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364