-->

Kidoa Nusura Aachike

WIKI kadhaa tangu aingie katika uhusiano na jamaa mmoja anayedaiwa kuwa ni kigogo, muuza nyago kwenye video za Kibongo, Asha Salum ‘Kidoa’ kidogo anusurike kuachwa na kigogo huyo baada ya kufumwa meseji za wanaume wengine kwenye simu yake.

kidoa23

Asha Salum ‘Kidoa’

Kwa mujibu wa chanzo kilicho karibu na muuza nyago huyo, tangu ameanzisha uhusiano na kigogo huyo, ameonekana ni mtu mpole na hata mambo ya starehe ameyaweka pembeni lakini kitendo cha kufumwa meseji kimeharibu kila kitu:

“Sasa unaambiwa juzi, Sikukuu ya Idd wakati yupo kwenye mtoko na mpenzi wake huyo, muda wote Kidoa alikuwa bize akichati na mwanaume mwingine jamaa akashtukia mchezo na kumpokonya simu, acha kinuke,” kilisema chanzo.

Kidoa alipoulizwa na paparazi wetu alikana ishu hiyo kutokea ambapo alisema siku hiyo hakutoka nyumbani kwao.

Chanzo:GPL

Comments

comments


Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364