-->

Masogange: Najuta Kuwa Staa

VIDEO queen mwenye umbo tata Bongo, Agnes Gerald ‘Masogange’ amefunguka kuwa, hakuna jambo analolijutia kama kuwa staa.

Masogange

Masogange aliliambia Ijumaa Wikienda kuwa, alipokuwa hajulikani alikuwa akifanya vitu vyake kwa uhuru bila kutazamwa na mtu yeyote tofauti na sasa.

“Unajua mtu anaweza kusema ukiwa na jina unakuwa furaha sana, lakini si kweli kabisa, kuna wakati najuta huwa nakosa uhuru wa kufanya kitu chochote kama binadamu wa kawaida,” alisema Masogange mwenye umbo la kuvunja shingo za wanaume wakware.

Chanzo:GPL

Comments

comments


Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364