‘Mchongo Sio’ ya Duma,Riyama, Mboto na Dude Kuingia Sokoni Mwezi Ujao
Kila mtu anpenda kile anachokifanya katika maisha yake kifaniwe,na kila mtu atavuna alichokipanda,kwa hiyo kama jambo lako lisipofanikiwa basi huna budi kusema Mchongo sio.
Daudi Michael ‘Duma’ na wakali wengine wa bongo movie kama Riyama Ally, Kulwa Kikumba ‘Dude’ na wengine amehusika kwenye filamu hii.
Usikose filamu hii kutoka Steps Entertainment 12.09.2016 nchi nzima