-->

Nay wa Mitego Aachia Dude ‘Moto’, Wamo Alikiba, Ruby, Young Killer

Msanii wa muziki wa hip hop, Nay wa Mitego ameachia wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la ‘Moto’.

Rapa huyo ameendelea na nyimbo zake za kuwachana baadhi ya wasanii ambapo ndani ya wimbo huu uliotayarishwa na producer Awasome ametajwa, Alikiba, Baraka The Prince, Nandy, Ruby pamoja na wengine.

Comments

comments


Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364