Neema Ndepanya Ametoa Zawadi kwa Watoto Yatima Baada ya Filamu Yake ya Kobe la Mchana Kuingia Sokoni
Mcheza filamu za kitanzania Neema Ndepanya ametembelea kituo cha watoto yatima Hiyali orphan center kilichopo changombe Sigara Dar es salaam na kuwapa zawadi ya vitu mbalimbali ikiwemo unga wa ngano pamoja na mafuta.
Neema amefanya hayo kama shukrani ya filamu yake ya Kobe la mchana kuingia sokoni ikisambazwa na kampuni ya steps entertainment iko nchi nzima kwa hivi sasa.
swahilifilamu Blog