Usipitwe na filamu hii leo saa 3 usiku kupitia Sibuka Maisha channel 111 kwenye startimes utakutana na Irene Uwoya,Dude,Ester Kiama,Haji Adamu na wengine wengi.

Pia Jumatatu itapatikana nchi nzima kwenye maduka ya steps entertainment
Comments
comments