-->

Nimepata Gauni la Harusi Bado Mume Tu- Tausi

MUIGIZAJI wa filamu Bongo Tausi Mdegela amefunguka kwa kusema kuwa anatamani sana kuvaa gauni la harusi kwa muda mrefu na hatimaye ametimiza shauku yake baada ya kufanikiwa gauni hilo na kuliweka ndani kwake ni ishara njema siku yoyote akipata mume mwenye mapenzi atalivaa na kutimiza ndoto zake.

Tausi akiwa katika vazi la Gauni la harusi.

“Jambo jema unalitafutia njia mwenyewe maana kuna watu ambao huwa wanapata bahati ya kuolewa au kufunga pingu za maisha lakini hawana nguo za harusi kwa sababu ni aghari, lakini mimi ninalo Gauni la harusi tayari ndani,”alisema Tausi Msanii huyo alivyoulizwa na FC imekuwaje kununua gauni la harusi ambalo mwenyewe anadai kuwa ni gharama na hiyo fedha asifanyie kazi nyingine alisema kuwa amenunuliwa na msanii wa muziki wa kizazi kipya Ben Paul kwa ajili ya kushiriki katika show yake lakini moja ya masharti alimuomba gauni hilo liwe lake kwa ajili ya Harusi akibahatika. Ben Pol baada ya kukiki na mchekeshaji wa kike Ebitoke anabuni tukio lingine kwa akuandaa tukio la kiharusi Bibi harusi anakuwa Tausi Mdegela ambaye naye yupo katika kundi la wachekeshaji anatikisa kwa ubunifu wakenkulingana na show anayofanya akiwa na Ebitoke na sasa yupo na Tausi kikazi.

Filamucentral

Comments

comments


Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364