-->

Nimerudi Rasmi na Filamu ya Faulo- Wastara

MWIGIZAJI wa filamu wa kike Wastara Juma ‘Stara’ amesema kuwa sasa amerudi kikazi kwa ujio wake wa filamu yake ya Faulo ambayo yeye ni mtayarishaji huku akiwa ni kinara wa filamu hiyo ambayo itakuwa filamu yake ya kwanza kutolewa na kampuni yake ya Wajey Film.

WASTARA4662
“Nimejipanga kwa ajili ya kufanya kazi nzuri zenye mafunzo katika jamii kama nilivyofanya katika filamu yangu hii ya Faulo ambayo ni elimu tosha kwa watazamaji ambao ndio wapenzi wa filamu zangu,”anasema Stara.
Filamu ya Faulo ni kazi ya kwanza kwa msanii Stara kutokana nayo baada ya muda mrefu kujipanga akiwa na lengo la kurudisha nguvu ya kampuni yake ambayo siku za nyuma ilikuwa ni yenye ushindani na kampuni nyingine ambazo zinafanya vema katika tasnia ya filamu Bongo.

Kwasasa ipo madukani, pata nakala yako ujionee

wastara455

 

Comments

comments


Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364