-->

Ommy Dimpoz Afungukia ya Skendo ya Kuwekwa Kinyumba

Msanii wa muziki wa bongo fleva Ommy Dimpoz amekanusha tetesi zilizozagaa kwamba amewekwa ndani kimapenzi maeneo ya mbezi  na jimama ambalo lina mahusiano naye kumapenzi.

Akiongea kupitia eNEWZ ya EATV, Ommy amesema kwa sasa anaishi Mikocheni Dar es Salaam na hajawahi kuwekwa ndani na mwanamke yeyote kwa kuwa anasema mpenzi wake wa sasa ni mchina na hajawahi kuwa na mahusiano na mwanamke wa kizungu na kwamba hizo ni story za watu ambao waliamua kuvumisha.

Hata hivyo Ommy amesema kwa sasa anajenga nyumba yake maeneo ya Mbezi na Kigambona hivyo hana nyumba ambayo amepangisha au kupangishiwa Mbezi na mambo yatakapokuwa wazi atamuweka wazi mpenzi wake.

eatv.tv

Comments

comments


Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364