Pete ya Lulu ya Waacha Njia Panda Mashabiki Wake
Staa wa Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amewaacha njia panda mashabiki wake mtandaoni baada ya hii leo kubandika picha wenye ukurasa wake wa instagram ya pete kidoleni kwenye ukurasa wake wa instagram na kuandika haya;
“Asante MUNGU Wangu Kwa Neema Zako ambazo hazijawahi kuniacha ???
Maana Hata hiki kitendo cha kishujaa kujinunulia Pete Nzuri Kama hii Ni Kwa Neema tu
Haya Acheni Umbea,hyo michezo yenu ya kuitana cjui kutagiana mtavunja Vidole?….Kwa akili Yako nikinunuliwa/kuvalishwa ntakutangazia ???????Jumapili Njema?”