-->

Picha: Ukaribu wa Wema na Idris Wazua Gumzo Mitandaoni

WEMA98

Mbali na ukweli kuwa Wema Sepetu na Idris Sultan ni marafiki tangu zamani, hali imekuwa tofauti kwa hivi sasa ambapo baadhi ya mashabikibi wamekuwa wakiutilia shaka ukaribu wao wakidai kuwa umevuka mipaka na kuwahisi kuwa ni wapenzi.
Mbali na madai kuwa Idris amekuwa akiweka kambi nyumbani kwa wema, Posti za Wema Sepetu kwenye mtandao wa Instagram juu ya Sultan zimekuwa ni moja ya sababu kubwa ya baadhi ya watu kuamni juu ya tetesi hizo za wawili hao kutoka kimapenzi.
Hadi sasa sio Idris au Wema aliyejitokeza na kuthibitisha kuwa wapo kwenye muhusiano.
Hizi ni baadhi ya posti linazo- trend instagram.

wema3451 WEMA6321 wema6322

Comments

comments

Post Tagged with

Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364