-->

Picha: Zari Asherehekea Birthday Yake Visiwani Zanzibar

Zari The Bosslady amesherehekea siku yake ya kuzaliwa Ijumaa hii akiwa visiwani Zanzibar akiwa na mpenzi wake Diamond na watu wao wa karibu.

zari-2

Sherehe hiyo ilihudhuriwa Mose Iyobo, Aunty Ezekiel, na watu wengine wa karibu wa familia hiyo.

zari-1

 

 

 

Comments

comments


Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364