-->

Pichaz: Ommy Dimpoz na Wayne Rooney Wakutana Hispania

Akiwa nchini Hispania, mkali wa bongo fleva, Ommy Dimpoz amekutana na mchezaji nyota wa nyota wa Manchester United na timu ya uingereza, Wayne Rooney na familia yake kwenye kisiwa cha Ibiza nchini humo.

ommy na rooney
Ommy dimpozi ameweka picha hizi na video mtandaoni.

ommy23

 

Comments

comments


Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364