-->

Roma Amemchana Babu Tale

Wakati wananchi wa kisubiri kusikia wimbo mpya wa Roma juu ya kuichana serekali ya Magufuli ,Roma ameachia wimbo wake huo ambao amewachana wala unga pamoja na babu tale kumganda Diamond

ROMA 34

Baada ya mashabiki kukaa na kusubili kazi mpya ya Roma Mkatoliki ambayo amemshirikisha msanii mwenzake Darasa ambayo kila mwananchi akitegemea kusikia akiichana serekali ya Magufuli kama ilivyo kawaida yake kuimba vitu ambavyo havifanywi kwa umakini katika sekta mbalimbali serekalini kwama sukari mafuta na kadhalika hali imekuwa tofauti kabisa.

Kipindi hiki Roma amekuja kivingine kabisa huku akiachana vijana wanaotumia madawa ya kulevi na pia hajasahau kumchana Meneja wa TIPTOP Babu Tale juu ya kuwa karibu saana na msanii wa bongo fleva Tanzania Diamond Platnam na kuwasahau kabisa wasanii wa TIP TOP.

Hata hivyo Roma amesema amejaribu kuwasihi vijaana wanao tumia madawa ya kulevia huku wakisingizia ajira ngumu ila hata hivyo Roma amesema ataendelea kuweka wazi vitu ambavyo haviendi sawa huku akitumia nyimbo zake pia kuelimisha kamii inayomzunguka na mwisho wa siku kila kitu kitaenda sawa.

eatv.tv

Comments

comments


Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364