-->

Shilole Aendeleza Urithi wa Mama Yake

UNAJUA biashara ya kupika inalipa kiasi gani? Muulize Zuwena Mohammed (Shilole), kwani kitu hicho ndicho kilichomfanya msanii huyo achukue biashara hiyo aliyokuwa akiifanya mama yake.

Shilole aliliambia MTANZANIA kwamba, kama wasanii wasichana wangejua faida ya biashara ya chakula wangewekeza huko kwa kuwa inalipa licha ya kudharaulika na baadhi ya watu.

“Naipenda biashara hii kwa kuwa inalipa, lakini pia ni urithi kutoka kwa mama yangu hivyo naifanya kwa faida nyingi, inalipa na inanikumbusha enzi za mama alipokuwa akifanya biashara hii huku akinifundisha, sitaiacha na muziki nitaendelea nao,” alisema Shilole.

Mtanzania

Comments

comments


Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364