-->

Spicy ‘Rasta’ Atoboa Sababu ya Kutomvisha Pete Jay Dee

Mwanamuziki Spicy kutoka Nigeria ambaye pia ni mpenzi mpya wa Lady Jaydee, leo ametoa sababu za wawili hao kutokuwa na pete licha ya kuonekana wakiwa katika mazingira walioyaita ‘honeymoon’.

Spicy akiwa na Jay Dee

kizungumza kwenye kipindi cha Planet Bongo cha East Africa Radio, Spicy amesema kwa sasa anasubiri hatua za uchumba na ndoa zikamilike, kisha ndipo suala la pete litafuata.

“The ring is coming after the engagement and the wedding, we don’t start with the ring….akimaanisha (Pete itakuja baada ya uchumba na ndoa, hatuanzi mahusiano na pete”.

Kwa sasa msanii huyo yupo nchini na wameachia kazi mpya ya pamoja akiwa na Lady Jaydee.

 

Comments

comments


Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364