-->

Tag Archives: BABAHAJI

Baba Haji Adai Anasakwa Auawe!

Post Image

Roho mkononi! Mwigizaji wa Bongo Movies, Haji Adam ‘Baba Haji’ ameviomba vyombo vya dola, TCRA na Rais John Pombe Magufuli kumsaidia akidai kwamba anasakwa auawe na kundi lisilojulikana. Akizungumza na Ijumaa Wikienda kwa njia ya simu akiwa mafichoni, Baba Haji alifunguka kuwa amekoswakoswa mara kadhaa kutiwa mikononi na watu hao wanaoonekana kuwa na nia mbaya […]

Read More..

Wapenzi na Mashabiki wa Jerusalem Films na ...

Post Image

Kutoka kwa mkurugenzi wa Jerusalem films, Jacob Stephen ‘JB’ RATIBA kutoka Jerusalem films, movie yetu itakayo fata baada ya Chungu cha Tattu ni Chale Mvuvi, washiriki ni Shamsa Ford na Haji Adam ‘Baba Haji’, Mzee Halikuniki, Makombora , Mzee Chepuo na wengine. Movie hii ili tengenezewa zanzibar mwaka 2013, movie hii itafuatiwa na Kalambati Lobo, […]

Read More..

BABA HAJI: Bila Haya Tasnia ya Filamu Itayu...

Post Image

Mwigizaji Haji ‘Baba Haji’ Adam amesema soko la filamu lipo isipokuwa limekosa msisimuko kutokana na sababu mbalimbali ikiwamo baadhi ya wasanii kukosa ubunifu na kutunga kazi zisizokuwa na ubora. Kauli hiyo ya Baba Haji inatofautiana na za baadhi ya wasanii wenzake ambao wamekuwa wakilalamikia kukosekana kwa soko hilo huku wakitaja sababu kadhaa. Anazitaja baadhi ya […]

Read More..