-->

Tag Archives: Churchill

Mchekeshaji “Teacher Wanjiku” a...

Post Image

Mchekeshaji “Teacher Wanjiku” amewavunja mbavu watazamaji kwenye kipindiĀ  cha luninga cha Churchill na kusema kuwa alimkatalia mumewe kurudi saloon baada ya kunyolewa nywele siku mbili tu na kutaka tena kurudi. Inaonyesha mumewe alipenda huduma nzuri iliyotolewa na dada wa Saloon hivyo akataka akanyolewe tena ingawaje alikuwa amenyolewe siku mbili zilizopita. Pia aliwaacha watu wakicheka akisema […]

Read More..