Mchekeshaji “Teacher Wanjiku” amkatalia mumewe kurudi saloon kunyolewa
Mchekeshaji “Teacher Wanjiku” amewavunja mbavu watazamaji kwenye kipindi cha luninga cha Churchill na kusema kuwa alimkatalia mumewe kurudi saloon baada ya kunyolewa nywele siku mbili tu na kutaka tena kurudi. Inaonyesha mumewe alipenda huduma nzuri iliyotolewa na dada wa Saloon hivyo akataka akanyolewe tena ingawaje alikuwa amenyolewe siku mbili zilizopita.
Pia aliwaacha watu wakicheka akisema wanaume wananunue miwa na kutafuna wenyewe badala ya kutengenezewa juice.
kuifaidia comedy yake basi tazama video yake hapa chini.