-->

Tag Archives: MTITU

Mititu Aelezea Jinsi Marehemu Edwin Semzaba...

Post Image

Kufuatia kifo cha mwandishi wa vitabu vya Kiswahili kikiwemo, Ngoswe: Penzi Kitovu cha Uzembe, Edwin Semzaba amefariki dunia jana Jumapili ya January, 17, muongozaji na mtengenezaji wa filamu maarufu hapa bongo, Willium Mtitu kupitia ukurasa wake mtandaoni alieza jinsi alivyoguswa na msiba huo. Pumzika kwa amani mwalim mimi ni mmoja kati ya watu aliyefamikiwa kuongoza(KUDIRECT)mchezo […]

Read More..

Maprodyuza Wasiosajiliwa Kukiona cha Moto

Post Image

KAIMU Mwenyekiti wa Chama cha Maprodyuza Tanzania, William Mtitu, amesema hakuna prodyuza atakayeruhusiwa kufanya kazi ya kutengeneza filamu ndani na nje ya nchi kama hatasajiliwa na chama hicho. Mtitu alisema chama hicho kimeamua hayo ili kuondoa filamu zisizo na ubora katika soko la filamu nchini ambalo anadai limejaa filamu zisizo na ubora hali inayopelekea kudharauliwa […]

Read More..

Mwarobaini wa Wasanii Feki Waja

Post Image

KATIKA kile kinachoelezwa ni kuhakikisha heshima ya wasanii wa filamu inarejea nchini, Chama cha Wasanii wa Filamu Tanzania, kimelazimika kutunga sheria ya kuwataka wasanii, maprodyuza na wapiga picha wote kujisajili kwenye chama hicho na mtu hatoruhusiwa kufanya kazi bila kujisajili. Akizungumza jana na MTANZANIA, Kaimu Mwenyekiti wa Chama cha Maprodyuza Tanzania, William Mtitu, alisema kuwa […]

Read More..

Tamthilia ya Mama Kubwa Mbioni Kukamilika

Post Image

TAMTHILIA mpya iliyopewa jina la Mama Kubwa inayoandaliwa na Kampuni ya 5 Effects Movies Ltd, ipo mbioni kukamilika baada ya kuandaliwa kwa muda mrefu na kuna uwezekano wa kuingia sokoni mwishoni mwa mwezi huu. Akizungumza na MTANZANIA jana mmoja wa waandaaji hao ambaye pia ni mmiliki wa kampuni hiyo, William Mtitu, alisema anaamini kazi hiyo […]

Read More..