Lulu, Uwoya, Wema… Pisheni Njia
SINEMA mpya ya kimataifa ya Homecoming imekuja na vipaji vipya katika sinema za Kibongo, huku Magdalena Munisi akiibuka na kuwatishia amani madiva wa Bongo Muvi wanaotesa katika tasnia hiyo. Mastaa wanaoonekana kufanya vizuri zaidi Bongo Muvi kwa sasa ni pamoja na Elizabeth Michael ‘Lulu’, Irene Uwoya, Wema Sepetu, Rose Ndauka, Shamsa Ford na Aunt Ezekiel. Magdalena ambaye katika sinema hiyo amecheza kama […]
Read More..