-->

Tag Archives: NATURE

Nampenda Yemi Alade Ila Sina Namba Zake ...

Post Image

Juma Nature ameyasema hayo katika kipindi cha PlanetBongo kinachorushwa na East Africa Radio, na kusema kwamba anamkubali sana msanii huyo kutoka Nigeria, ambaye ameimba wimbo wake wa Nagode kwa lugha ya kiswahili. “Nataka nimalize kabisa na Yemi Alade, yeye ni msanii ambaye anaweza sana Afrika, anajua muziki kinyama, nikikaa nyumbani na kusikiliza madude yake, huyu […]

Read More..

Nataka Niache Kula Monde-Juma Nature

Post Image

Msanii mkongwe katika tasnia ya bongo fleva Juma Kassim Nature (Kiroboto) amefunguka na kusema ameachana na mambo mengi ya ajabu ajabu na starehe na kusema anataka kuachana na mambo hayo kwani uhuni ataki tena. Juma Nature akipiga stori katika kipindi cha Planet Bongo ya EATV alisema ameweza kuachana na mambo mengi ambayo kwa jamii yanaonekana […]

Read More..