-->

Tag Archives: SNURA

Muziki Unalipa Zaidi ya Filamu-Snura

Post Image

Mwanamuziki na muigizaji Snura Mushi amesema muziki unamlipa zaidi ndio maana hafikirii kwa kipindi hiki kuwaahidi mashabiki wake ujio wowote wa filamu. “Muziki unalipa kwa kuwa kila kitu kinamhusu msanii na meneja wake, lakini filamu ina mambo mengi kiasi cha kumfanya msanii kuwa na mambo mengi”. Mwanamuziki na muigizaji Snura Mushi amesema muziki unamlipa zaidi […]

Read More..

Snura Atoa Wazo Kuinua Filamu

Post Image

Msanii wa muziki Snura ambaye misingi ya kile anachokifanya imejengeka kutoka katika tasnia ya uigizaji ametoa maoni yake kuwa, tasnia ya filamu inaweza kuamishwa tena kwa kuhusisha visa kutoka rekodi za muziki ambazo zimefanya vizuri. Snura ametolea mfano wa rekodi yake ya Majanga ambayo anaamini kama ataifanyia filamu, itajenga hamu kubwa ya mashabiki kuitazama na […]

Read More..