-->

Snura Atoa Wazo Kuinua Filamu

Msanii wa muziki Snura ambaye misingi ya kile anachokifanya imejengeka kutoka katika tasnia ya uigizaji ametoa maoni yake kuwa, tasnia ya filamu inaweza kuamishwa tena kwa kuhusisha visa kutoka rekodi za muziki ambazo zimefanya vizuri.

Snura

Snura

Snura ametolea mfano wa rekodi yake ya Majanga ambayo anaamini kama ataifanyia filamu, itajenga hamu kubwa ya mashabiki kuitazama na kuamsha mvuto wa soko la kazi hizo ambalo linaonekana kudorora kwa sasa.
Eatv.tv

Comments

comments

Post Tagged with

Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364