Ujumbe wa Babu Seya Kwa Mtoto wa Kajala
Leo ni siku ya kuzaliwa ya mtoto wa staa wa filamu Kajala Masanja, Paula, ambapo Kajala amemwandikia ujumbe mzuri mwanae huyo huku akimkumbusha mwanae jukumu alilopewa na msanii mkongwe wa muziki, Babu Seya aliye gerezani kwa muda mrefu.
Wawili hao walimtembelea Babu Seya hivi karibuni na kuzungumza naye mambo kadhaa.
Kupitia instagram, Kajala ameandika:
Dear baby, no matter how old i get i will always be your mom and you will always be my little cute thing.Paula, we have been through alot together but you have always been there for me, unanipa nguvu, unanifariji na kunishika mkono na kuninyanyua.Nikikuangalia napata nguvu sana..your the reason why am working really hard just to see u happy and see your beautiful smile.You support me in my everything even when sometimes you know that am wrong. Wewe ni rafiki yangu ambae hutachoka kua na mm na utanifuta machozi daima.Am thankful to God that your becoming a big girl but kua a big girl peke yake haitoshi mama angu..but nitafarijika kukuona unakua katika maadili mema, tabia njema na uendelee kua mtoto mwenye huruma na uheshim na kumpenda kila mtu.The most important thing in your life paula ni ELIMU…education is everything my love..shikilia elimu yako ili na wewe uje kua mtu kati ya watu.elimu ndio baba na mama wa maisha yako.Lets pray to God niishi maisha marefu ili nizidi kukutunza na kukulea vyema mwanangu.ni shida nyingi na tabu nimepitia kwa ajili ya kukukuza katika maisha bora na yenye furaha, yote hayo ni kwasababu nataka ukue ili utimize ndoto zako.Sometimes i may scold you, get angry, I may even be grumpy.But no matter what I do or how annoying I may seem, all I want is for you to live your dreams.I want you to grow and become a better person each day.My heart is filled with Memories of a little girl who touched my heart and change my World forever. Without forgetting last week tulienda kumuona Babu Seya akakwambia kwamba `soma sana uwe advocate ili uje unitoe babu yako’that statement means alot Paula keep it in your mind…HAPPY BIRTHDAY TO MY BEAUTIFUL BABY GIRL…NAKUPENDA SANA MWANANGU??❤?
Bongo5